Skip to main content
Skip to main content

Seneta Cherargei aunga mkono baadhi ya maseneta wanaopinga kufidiwa kwa Gachagua shilingi Milioni 50

  • | NTV Video
    1,608 views
    Duration: 1:31
    Seneta wa Nandi Samson Cherargei ameunga mkono baadhi ya maseneta wanaopinga kufidiwa kwa Gachagua shilingi Milioni 50 na Bunge la Seneti baada ya Mahakama kuu ya Milimani kuagiza kulipwa kwake kama fidia. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya