- 217 viewsDuration: 1:02Seneta wa Kaunti ya Bungoma, David Wakoli, amekemea siasa za mgawanyiko, akisema kila Mkenya ana haki ya kuunga mkono mrengo wa kisiasa anaouchagua bila vitisho au ubaguzi akisema viongozi wanapaswa kuhubiri umoja na kuheshimu misingi ya demokrasia badala ya kutoa matamshi yanayoweza kuwatenganisha wananchi.