Skip to main content
Skip to main content

Seneta wa Makueni ailaumu serikali kwa visa vya utekaji nyara

  • | Citizen TV
    409 views
    Duration: 1:40
    Seneta wa Makueni ameilaumu serikali kwa kuongezeka kwa visa vya utekaji nyara nchini. Kauli hiyo inajiri baada ya mhariri wa Standard Group kutekwa nyara na baadaye kuachiliwa, huku wito ukitolewa kwa serikali kuchukua hatua kulinda usalama wa Wakenya.