2 Apr 2026 1:47 pm | Citizen TV 280 views Duration: 2:20 Serikali imeazimia kuwatuma wataalamu wa wanyamapori ili kutafuta njia za kutatua mizozo kati ya wanyamapori na binadamu katika eneo bunge la budalang'i kaunti ya busia