- 387 viewsDuration: 3:54Juhudi za kulinda Msitu wa Oloolua kajiado kaskazini zimepata kasi, huku wadau wakiharakisha mipango ya kuuzungusha uzio msitu huo, kufuatia kuongezeka kwa visa vya uvamizi wa ardhi, uhalifu na uharibifu wa mazingira unaoutishia mustakabali wake.