- 4,341 viewsDuration: 3:56Serikali inapania kuanza kuuza mafuta nje ya nchi kufikia disemba mwaka huu. Haya ni kwa mujibu wa waziri wa kawi na petroli Opiyo Wandayi. Akizindua uchimbaji wa visima zaidi vya mafuta katika eneo la Lokichar, kaunti ya Turkana, Wandayi amesema kuwa takriban matangi laki sita ya mafuta yatachimbwa kila mwezi na kusafirishwa kutoka Turkana hadi kwenye bandari ya Mombasa ili kuuzwa nchi za nje.