Skip to main content
Skip to main content

Serikali kuongeza zaidi ya Shilingi milioni 100 kwa ujenzi wa taasisi ya mafunzo ya mifugo Awendo

  • | Citizen TV
    262 views
    Duration: 2:02
    Waziri wa fedha John Mbadi ameeleza kuwa Serikali kuu itaongeza zaidi ya shilingi milioni 100 kwa ujenzi wa taasisi ya mafunzo ya mifugo katika eneo la alara Nyambija kaunti ndogo ya Awendo kama njia ya kurahisisha kukamilisha Kwa miradi hiyo...