- 1,529 viewsDuration: 2:52Serikali sasa inasema ina mipango ya kuagiza nchini tano laki tano za mahindi ya njano kama lishe ya mifugo, kama hatua ya kukabiliana na uhaba wa maziwa unaoshuhudiwa nchini. Wizara ya mifugo ikikiri kuwa kuna uhaba wa uzalishaji wa maziwa tangu mwezi julai.