- 579 viewsDuration: 1:39Kutokana na mkasa wa moto uliosababisha vifo vya wanafunzi 16 katika Shule ya Wasichana ya Utumishi, Gilgil, serikali kupitia Idara ya Watoto imetangaza mpango wa kutoa msaada wa kisaikolojia na ushauri nasaha kwa familia zilizoathirika.