Skip to main content
Skip to main content

Serikali kuwapiga jeki wakulima kwa kuwapa mbolea na pembejeo za bei nafuu

  • | NTV Video
    171 views
    Duration: 1:33
    Katibu katika Idara ya Maendeleo ya Mifugo katika Wizara ya Kilimo na Mifugo, Jonathan Mueke, ametangaza kuwa serikali itaendelea kuunga mkono wakulima kwa kuwapa mbolea na pembejeo za bei nafuu ili kuboresha kilimo na kuongeza uzalishaji wa chakula nchini. Serikali kuwapiga jeki wakulima kwa kuwapa mbolea na pembe za bei nafuu Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya