Skip to main content
Skip to main content

Serikali kuwekeza kiwanda cha mafuta, Uganda kununua hisa Kenya Pipeline

  • | Citizen TV
    3,840 views
    Duration: 1:33
    Rais William Ruto ametangaza kuwa serikali itawekeza katika kiwanda cha kusafisha mafuta cha Uganda, kama njia moja ya kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili . Akizungumza kwenye kongamano la Africa We Build jijini Nairobi, Rais Ruto amesema hatua hiyo inajiri baada ya rais wa Uganda Yoweri Museveni kuwekeza kwenye hisa za Kenya Pipeline licha ya kuwa serikali iliuza hisa hizo kwa bei ya juu. Kongamano hilo linapania kuimarisha ushirikiano baina ya mataifa ya Afrika Mashariki, viongozi wakisema utakuwa wa manufaa kwa wananchi.