30 Jul 2026 1:35 pm | Citizen TV 288 views Duration: 2:02 Serikali pamoja na mwekezaji wa sekta ya sukari huko Tana River wamehakikishia wakazi wa eneo la Chewele kuwa ardhi yao haitanyakuliwa jinsi inavyodaiwa na baadhi ya viongozi.