2 Sep 2025 12:01 pm | K24 Video 1,663 views Duration: 59s “Hii serikali tumeipigania, halafu leo hii mnatuambia tutoke. Tutoke tuende wapi? Hatuwezi toka mahali tunapata maendeleo.” Hon. Zander Jhanda