- 330 viewsDuration: 1:29Serikali ya Kaunti ya Baringo yapandisha hadhi ya miji ya Marigat, Mogotio na Eldama Ravine kuwa manispaa, hatua itarajiwayo kuharakisha maendeleo ya kiuchumi, kuboresha miundombinu na huduma za umma, pamoja na kuvutia wawekezaji. Miji hiyo imekuwa ikikua kwa kasi kutokana na ongezeko la idadi ya watu na shughuli za biashara.