23 Jul 2026 10:25 am | Citizen TV 542 views Duration: 2:12 Serikali ya kaunti ya Kericho yakanusha taarifa kuwa hospitali ya rufaa ya kericho imefungwa kufuatia mgomo wa madaktari uendeleao licha ya baadhi ya wakazi kufika hospitali hiyo na kukosa huduma