- 263 viewsDuration: 1:32Serikali ya Kaunti ya Kilifi imeongeza kampeni za kuelimisha wananchi kuhusu saratani ya matiti. Kati ya mwaka wa 2025 na 2026, watu 126 wamepatikana na ugonjwa huo ambayo ni asilimia 22 ya wagonjwa wote wa saratani kaunti hiyo.