- 321 viewsDuration: 4:32Serikali ya kaunti ya Kisii yaazindua mpango wa kazi mashinani utakaotoa ajira kwa vijana zaidi ya 2,000 . Kadhalika , kaunti ya Kisii yaongeza mashine kadhaa za ujenzi wa barabara pamoja na zile za kuzoa taka maeneo mbalimbali.