- 260 viewsDuration: 2:02Serikali ya kaunti ya Kwale ikishirikiana na muungano wa mashirika ya kijamii ya Kwale yakamilisha mchakato wa kutunga sera ya masuala ya jinsia na ujumuishaji wa jamii. Hii yawezesha Sheria ya dhuluma za kijinsia iliyopitishwa mwaka 2024 kutekelezwa kikamilifu katika kaunti hiyo.