1 Oct 2026 1:40 pm | Citizen TV 402 views Duration: 1:56 Serikali ya kaunti ya kwale kwa ushirikiano na shirika la Hope Mobility Kenya imetoa vifaa kwa watoto wenye ulemavu kaunti hiyo vya thamani ya shillingi milioni 7.3 .