18 Aug 2026 1:38 pm | Citizen TV 757 views Duration: 3:13 Serikali ya kaunti ya makueni imesema itagharamia matibabu kwa walioumia kwenye ajali ya barabara iliyotokea katika eneo la Kalembwani na kuwaua watu saba papo hapo huku zaidi ya 40 wakijeruhiwa.