Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya kaunti ya Nandi yaanzisha mpango wa kufadhili elimu

  • | Citizen TV
    340 views
    Duration: 1:50
    Serikali ya Kaunti ya Nandi yaanzisha mpango wa mafunzo bila malipo ili kuwapa vijana ujuzi katika fani mbalimbali zikiwemo uashi, ufundi wa mabomba, kutengeneza vifaa vitumiavyo umeme na taaluma zinginezo.