Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya kaunti ya Siaya yapiga jeki kilimo biashara miongoni mwa vijana

  • | Citizen TV
    251 views
    Duration: 2:02
    Kwenye hafla ya mradi wa kuongeza thamani ya bidhaa za kilimo, gavana wa siaya James Orengo awahakikishia wakazi nia yake ya kuwekeza zaidi kwenye uchumi wa kilimo, taasisi za kilimo, unyunyiziaji maji mashamba na kuongeza thamani ya mazao.