Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya kenya yampigia debe Jaji Njoki Ndung'u kujiunga na ICC

  • | Citizen TV
    757 views
    Duration: 1:36
    Jaji wa Mahakama ya juu Njoki Ndung'u anapigiwa upatu kujiunga na mahakama ya jinai ya kimataifa ICC iliyoko uholanzi. serikali ya Kenya inaunga mkono azma ya jaji Ndung'u ya kujiunga na mahakama hiyo.