- 161 viewsDuration: 1:23Serikali kupitia Wizara ya Elimu imeagiza wasimamizi wa elimu maalum katika kaunti zote 47 kuhakikisha wanafunzi wanaoishi na ulemavu wanapata vifaa saidizi vinavyohitajika na kuhakikisha hakuna mwanafunzi anayeachwa nyuma. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya