- 21,206 viewsDuration: 2:43Serikali imeanza rasmi ujenzi wa makumbusho ya Raila Odinga, yanayotarajiwa kukamilika ifikapo mwisho wa mwezi Septemba. Jengo hilo linajengwa mkabala na kaburi la Jaramogi Oginga Odinga katika eneo la Kang'o Ka Jaramogi, na linatarajiwa kuwa kituo cha mafunzo kuhusu demokrasia na maadili ya kisiasa ambayo Raila Odinga ameyapigania.