- 130 viewsDuration: 1:58Serikali yaongeza kasi ya juhudi za kuiweka Kenya katika nafasi ya kuwa kitovu cha uchumi wa kidijitali katika ukanda wa Afrika mashariki kupitia upanuzi wa miundombinu ya intaneti pamoja na mafunzo ya ujuzi wa kidijitali kwa vijana.