Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaendelea kuondoa vikwazo vya ufadhili kwa biashara ndogo

  • | Citizen TV
    405 views
    Duration: 2:39
    Katika juhudi za kuimarisha ukuaji wa Biashara Ndogo na za wastani, Katibu katika Wizara ya Biashara Ndogondogo za wastani, Susan Mang'eni, amesema serikali inaendelea kuondoa vikwazo vinavyowazuia wafanyabiashara kupata mtaji kwa urahisi