Skip to main content
Skip to main content

Serikali yafichua ulaghai wa mishahara kwa watoto ambao hawajazaliwa

  • | Citizen TV
    4,562 views
    Duration: 3:49
    Wizara ya Utumishi wa Umma imesema baadhi ya idara za serikali zimekuwa zikilipa mishahara watoto ambao hata hawajazaliwa, kulingana na ripoti ya uchunguzi wa ulaghai wa mishahara iliyowasilishwa mbele ya Baraza la Mawaziri. Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Ruku amesema Idara ya Upelelezi inaendelea kuchunguza ripoti hiyo iliyobaini ulaghai mkubwa wa mishahara, ukiwemo malipo kwa watoto ambao hawajazaliwa na watu wanaopokea zaidi ya mshahara mmoja kila mwezi.