Skip to main content
Skip to main content

Serikali yahakikishia Wakenya utayari wa kukabili Ebola

  • | Citizen TV
    320 views
    Duration: 58s
    Kwa mara nyingine, Mary Muthoni amewahakikishia Wakenya kuwa serikali imeweka mikakati madhubuti ya kuzuia kuenea kwa ugonjwa wa Ebola nchini. Akizungumza mjini Mwingi wakati wa ziara ya kukagua huduma za afya, alisema serikali pia inalenga kuhakikisha kila Mkenya anapata huduma bora za matibabu kupitia kuimarishwa kwa mfumo wa afya nchini.