Skip to main content
Skip to main content

Serikali yahimizwa kuwapa wafugaji mafunzo maalum kuhusu viwango vya ubora katika soko la kimataifa,

  • | Citizen TV
    325 views
    Duration: 3:39
    Balozi wa Kenya nchini Uchina Will Bett, atoa changamoto kwa baraza la ubora wa ngozi nchini KLDC, kuhakikisha wafugaji wa humu nchini wanahamasishwa kikamilifu kuhusu viwango vya ubora katika soko la kimataifa, ili bidhaa zao zisifungiwe nje kwenye soko la Uchina lililofungua milango yake kwa uagizaji wa bidhaa hiyo kutoka Kenya. Hii ni baada ya serikali za kenya na uchina kuafikiana kutotoza ushuru bidhaa hiyo miongoni mwa zingine kama vile kahawa na parachichi zinapoingia Uchina.