Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaimarisha uthibitishaji wa kidijitali kwa wazee walio na zaidi ya miaka 70

  • | Citizen TV
    392 views
    Duration: 1:57
    Serikali ya Kitaifa inaendelea kuboresha na kuimarisha mfumo wa uthibitishaji wa kidijitali kwa wazee wenye umri wa zaidi ya miaka 70, katika juhudi za kupata data kamili na sahihi ya walengwa wa programu mbalimbali za kijamii.