Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaimarisha vita dhidi ya sigara za kielektroniki

  • | Citizen TV
    331 views
    Duration: 2:45
    Serikali inasema imezidisha juhudi za kukabiliana na matumizi na uingizaji wa sigara za kielektroniki humu nchini, huku ikieleza kuwa bidhaa hizo zinaweza kuchangia kuongezeka kwa magonjwa ya mfumo wa upumuaji. Haya yanajiri baada ya pakiti elfu kumi na saba za sigara kunaswa mjini thika kaunti ya kiambu.