Skip to main content
Skip to main content

Serikali yakanusha madai ya kutumia akiba za SACCO kufadhili hazina

  • | Citizen TV
    495 views
    Duration: 1:45
    Serikali imepuuzilia mbali madai kuwa inapanga kutumia akiba za Wakenya zilizowekezwa katika vyama vya ushirika kufadhili Hazina ya Miundomsingi nchini. Katibu wa Idara ya Vyama vya Ushirika, Patrick Kilemi, amesisitiza kuwa akiba za wanachama ni mali binafsi na haziwezi kuelekezwa kwa miradi ya umma. Hakikisho hilo linajiri kufuatia wasiwasi ulioibuliwa na ripoti zilizodai kuwa zaidi ya shilingi trilioni moja zinazoshikiliwa na vyama vya ushirika huenda zikatumika kufadhili hazina hiyo.