Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaonya kuhusu kuongezeka kwa matumizi ya bidhaa za tumbaku miongoni mwa Vijana

  • | Citizen TV
    831 views
    Duration: 26:01
    Serikali yaonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu ongezeko la matumizi ya sigara na bidhaa za tumbaku miongoni mwa vijana, ikionya kuwa kampeni za uuzaji wa bidhaa hizo zinaendelea kuwavutia wengi kuingia katika uraibu.