Skip to main content
Skip to main content

Serikali yapanga kupunguza uagizaji wa bidhaa zilizokamilika ili kukuza viwanda vya ndani

  • | Citizen TV
    281 views
    Duration: 1:41
    Serikali imetangaza mipango ya kupunguza na hatimaye kusitisha uagizaji wa baadhi ya bidhaa zilizokamilika, zikiwemo magari na pikipiki, kama sehemu ya mkakati wa kuimarisha viwanda vya ndani na kuongeza uzalishaji wa bidhaa nchini. Lengo la hatua hiyo ni kukuza ajira, kuongeza thamani ya bidhaa zinazozalishwa nchini na kuimarisha sekta ya utengenezaji bidhaa.