Skip to main content
Skip to main content

Serikali yapendekeza kuifanyia marekebisho sheria ya uhalifu wa mtandaoni

  • | Citizen TV
    328 views
    Duration: 2:33
    Serikali imependekeza kufanyiwa marekebisho kwa Sheria ya Matumizi Mabaya ya Kompyuta na Uhalifu wa Mtandaoni ya mwaka 2018 kufuatia changamoto mpya zinazoletwa na matumizi ya Akili Unde (AI). Akizungumza katika mkutano wa sita wa Mfumo wa Usimamizi wa Usalama wa Habari (ISMS) mjini Naivasha, Raymond Omollo alisema maendeleo ya teknolojia yamefichua mapungufu katika sheria hiyo na kusisitiza umuhimu wa kuiboresha ili kuendana na mazingira ya sasa ya usalama wa mtandaoni.