13 Aug 2026 1:41 pm | Citizen TV 4,334 views Duration: 1:55 Upatikanaji wa vyeti vya kuzaliwa sasa unarahisishwa zaidi kupitia mfumo wa kidijitali, huku serikali ikilenga kuwaondolea Wakenya safari ndefu kutafuta huduma hiyo.