Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaruhusu maandamano ya kumbukumbu, Murkomen aonya dhidi ya vurugu

  • | Citizen TV
    8,353 views
    Duration: 3:15
    Serikali imesema imepokea na kuruhusu maombi ya kuandaliwa kwa maandamano ya amani ya kumbukumbu ya waathiriwa wa matukio ya miaka miwili iliyopita. Hata hivyo, Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amewaonya waandamanaji dhidi ya kuzua vurugu au kutatiza shughuli za kawaida. Akizungumza katika kikao na wanahabari jioni ya leo, Murkomen pia aliwaonya wanasiasa anaodai wanawachochea vijana kushiriki vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama na utulivu wa nchi.