- 9,091 viewsDuration: 3:09Serikali sasa inasema hakuna marufuku yoyote kwa raia wa kigeni kufanya biashara nchini. Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi, aliyeongoza mkutano maalum wa mabalozi, amesema kila raia wa kigeni anayefanya biashara nchini lazima awe na vibali vinavyohitajika. Na kama Seth Olale anavyoripoti, serikali imeonekana kujitahidi kulainisha mambo baada ya agizo la awali la Rais William Ruto kutaka wafanyabiashara wadogo wa kigeni kuondoka nchini.