- 602 viewsDuration: 2:04Serikali ya Kitaifa imepongezwa kwa mpango wa kuwapatia wazee wa vijiji marupurupu ya kila mwezi, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wao na machifu pamoja na vyombo vya usalama katika utekelezaji wa majukumu ya kiutawala na kiusalama mashinani.