- 661 viewsDuration: 3:43Huku kikosi cha Linda Mwananchi kikitarajiwa kuzuru kaunti ya Trans Nzoia kesho, wanachama wa vyama vya ODM na PM Party katika kaunti hiyo waitaka serikali kuhakikisha ziara hiyo yafanyika kwa amani, bila kushuhudiwa visa vyovyote vya vurugu. Vilevile, wamtaka waziri wa usalama wa ndani, Kipchumba Murkomen, kuwakamata wahuni wadaiwao kuhusika na kuzua vurugu na kuhatarisha usalama katika maeneo mbalimbali nchini.