17 Aug 2026 10:38 am | Citizen TV 152 views Duration: 1:45 Serikali imetakiwa kuongeza uwekezaji katika sekta ya afya ili kuwasaidia wananchi wa kipato cha chini, hasa wale wa maeneo ya mashinani, wanaokabiliwa na changamoto ya kupata matibabu kutokana na hali ngumu ya maisha.