- 518 viewsDuration: 1:33Serikali jioni ya leo imetoa makadirio ya bajeti yake ya shilingi trilioni 4.8 itakayoendesha shughuli za serikali kuanzia Julai tarehe mosi. Bajeti hiyo itafadhiliwa kwa mapato ya shilingi trilioni 3.6, huku kukiwa na upungufu wa zaidi ya shilingi trilioni 1.1.