- 1,229 viewsDuration: 3:31Hazina Kuu ya Kitaifa imewasilisha bungeni bajeti ya shilingi trilioni 4.8 ya mwaka wa kifedha wa 2026/2027. Katika bajeti iliyosomwa bungeni, serikali imesema inanuiwa kukusanya zaidi ya shilingi trilioni 3.63 kufadhili bajeti yake. Hata hivyo, licha ya juhudi hizo za kukusanya fedha, bado kutakuwa na pengo la zaidi ya shilingi trilioni moja. Jimmy Bogoh anatufafanulia zaidi.