Skip to main content
Skip to main content

Serikali yatenga bilioni 23 kusaidia kufanikisha shule za umma kwa muhula wa pili

  • | Citizen TV
    307 views
    Duration: 3:19
    Serikali imetenga shilingi bilioni 23 ambazo zitawasilishwa katika shule za umma wiki ijayo ili kufanikisha masomo wanafunzi wanapofungua kwa muhula wa pili. Akizungumza kwenye kilele cha tamasha ya uigizaji katika State House Nairobi, Rais William Ruto amesema kuwa pesa hizo zimetolewa mapema ili kuhakikisha kuwa hakuna changamoto za kifedha muhula wa pili. Rais Ruto pia amesema serikali itawaajiri walimu 20,000 zaidi kabla ya mwisho wa mwaka huu.