Skip to main content
Skip to main content

Serikali yatishia kutwaa silaha haramu Tana River endapo mkataba wa amani utavunjwa

  • | Citizen TV
    1,180 views
    Duration: 2:21
    Serikali itatwaa kwa lazima silaha zote zinazomilikiwa kinyume cha sheria katika kaunti ya Tana River iwapo mkataba wa amani uliowekwa baina ya jamii mbili zinazozozana utavunjwa.