17 Jun 2026 11:01 am | Citizen TV 173 views Duration: 1:48 Katibu wa Idara ya maswala Maalum, Ismail Maalim, atembelea vijiji vya Kitere na Samicha katika eneo la Garsen, Kaunti ya Tana River akiongoza usambazaji wa misaada kwa familia zilizoathiriwa na mafuriko.