Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaweka lami barabara ya Maungu hadi Kasighau

  • | Citizen TV
    386 views
    Duration: 1:43
    Serikali ya kitaifa itaweka lami barabara ya Maungu hadi Kasighau kaunti ya Taita Taveta baada ya viongozi eneo hilo kutaka barabara hiyo kushugulikiwa kutokana na umuhimu wake hasa kwenye sekta ya madini na kilimo.