5 Oct 2026 11:00 am | Citizen TV 309 views Duration: 1:45 Huku masomo yakiendelea katika chuo cha utalii cha ronald ngala kaunti ya kilifi, serikali imeweka mikakati ya kuimarisha sekta ya utalii kupitia chuo hicho kwa kutoa mafunzo bora ya utalii.