Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaweka mikakati ya kufufua kampuni ya Sukari ya Kwale

  • | Citizen TV
    277 views
    Duration: 1:10
    Serikali imeweka mikakati ya kufufua Kampuni ya Sukari ya Kwale (KISCOL), hatua inayotarajiwa kurejesha maelfu ya nafasi za ajira, kufufua kilimo cha miwa katika maeneo ya Pwani na kuboresha uchumi.